• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Huduma
Makazi yetu kwa sasa - HudumaHuduma

Mtazamo wa huduma

1. Huduma mbovu ni kitu kisichovumiliwa

2. kutowajibika kwa wateja ni kutowajibika kwa kampuni. Jali matakwa ya wateja, hakutakiwi kosa linalomkosea mteja wa uhakika. Mikakati ya uhusiaono mzuri inatufikisha katika lengo la umoja na mafanikio na wadau wetu

3. Mteja ni wa kutukuzwa na anayefanya tofauti ni adui wa kampuni

4. Lengo la kutoa huduma nzuri kwa wateja ni silaha ya kuwa na wateja wetu

5. Lengo sio mteja kuridhika bali matokeo ndio yanatakiwa yaridhishe

 

6.Huduma nzuri ndio lengo 

 

Huduma ya kujivunia

1 sisi ni wazalishalishaji na wachakataji wakubwa wa chuma duniani tunasafirish nje kwa zaidi ya nchi 30

2 tunauwezo wa kutengeneza aina tofauti zaidi saba (7) ya vyuma na kuvipeleka popote duniani kwa muda muafaka

3 tuna mikataba na makampuni makubwa duniani ya uchimbaji chuma kama BHP Biliton,Rio Tinto na Vale of Brazil

4 sisi ndio wadau wakuu tunaofata viwango vya chuma ya aina yoyote kitaifa na kimataifa

5 tuna kibali na usajili wa kusambaza kwa takribani nchi nane katika Jumuiya ya Ulaya (CE) na China kwa ubora na uhakika

 

6 vyuma kutoka Jingye vinaendelea kutumika katika miradi ya mfano na mikubwa kama kitaifa na kimataifa kama China Pavilion,Expo three gorges project na mradi mkubwa wa maji wa south-south