• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Majukumu
Makazi yetu kwa sasa - MajukumuMajukumu

        Nia na madhuni ya kuanzisha Jingye Group imekuwa ya kutosheleza kwa jamii kwani sio kwa ajira 20500 zilizopatikan bali kwa ukuaji wa Nyanja nyingine za kiuchumi kama usafiri, huduma za migahawa ambapo ni takribani ajira 30000 zimepatikana. Kwani kwa sasa hata masuala ya majanga, ujenzi wa miundombinu utokomezajia wa umasikini na shughuli nyingine za jamii umegahrimu zaidi ya Yuan Milioni 300.

        Kuendeleza maisha ya jamii na mjii kwa jimbo kwa ujumla Jingye Group ina mkakati wa Mji wa Nandian na kurekebisha mji wa Pingshan Xichenghuafu.

 


        
Mwaka 2007 Jingye group imewekeza katika kujenga wa chuma, julai 31 Chenmeng ilianza kufanyiwa kazi na serikali ya Pingshan ikafanya uzinduzi. Mradi wa barabara ya Chenmeng wa km 16.5 kusini mwa Mengxianbi na kaskazini mwa Nandian tuliwekeza Yuan Milioni 120 na kutatua tatizo la uchumi,tamaduni na msongamano barabarani kwa watu 130000 kwa watu wanaotokea kaskazini mwa mto Hutuo   .

 


        
Ikiwa Jingye Group imekusudia kuendeleza na kuweka mazingira mazuri ya barabara nchini, mwaka 2009 ilianzisha mradi wa Yuan milioni 60 ulioitwa Jingye Group Ring Factory Road na Agosti 18 mradi ulifuliwa rasmi. Hivyo basi barabara zote zenye km.13 za Nandian, Nanjiaopo, Beilijiaopo, Kangzhuang, Xinjiawa, Qijiakan, Xiejiatong, Xianggongzhuang, Heimutian, Xinzhuang, Baili, Weijiayuan na vijiji vingine kumi na mbili (12). Hii imetoa fursa kwa ndani na nje kufanikisha kusafirisha bidhaa na malighafi ila pia ina tija kubwa kwa wanajamii kwani ni mradi wenye mafanikio makubwa kwani umekubalika na jamii nzima.


        
Ikiwa Jingye Group imejitolea kuendeleza jamii pia imejenga shule za awali katika vijiji vya Weijiayuan na Baili bila kusahau kuto achakula kwa wasijiweza. Vilevile bila kusahau ajira kwa nwakulima takribani 20000 na kuboresha huduma ya usafiri kwa wakazi na viwanda vinavyozunguka eneo husika.

 

 
        
Pia kwa huduma za wasijiweza Jingye Group imeanzisha taasisi ya Coke Acid Co Ltd inayohudumia zaidi ya walemavu 514 kwa kutoa ajira na kuwapatia bima na kupunguza mzigo wa wazee.