• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Uhusiano wa Kimataifa
Makazi yetu kwa sasa - Uhusiano wa KimataifaUhusiano wa Kimataifa

 Mahusiano ya Kimataifa

Katika mipango ya kutanua zaidi Wigo wa biashara kimataifa Hebei Jingye Group ilianzisha mahusiano mazuri ya kibiashara na kuendelea na mawasiliano hayo pote ulimwenguni. Pia kampuni yake tanzu ya madawa inamahusiano mazuri ya kibiashara na Glaxo Smit Kline biological Co. Ltd(kampuni namba mbili ya madawa duniani) na American Johnson Company. Vilevile idara ya manunuzi ilijiunga na kampuni kubwa za madini duniani kama BHP Bilion, Tinto,Valve of Brazil na FMG; pia bidhaa zote za Hebeii Jingye Group zina cheti cha kimataifa cha ISO9001,EU CE Certificate na Certificate of Classification na nchi tisa (9) na bidhaa zake kusambazwa kwa takribani nchi 30 kanda zake. 

1 Machi 20, 2009, Makamu wa Rais wa wakurugenzi wakuu Juke akiwa na wajumbe katika tafrija ya kusaini mikatba ya makubaliano baina ya Li Huiming na Brazil CVRD Ore   

2.On May 28, 2008, SSAB came to Jingye Group for technical Exchange.

 

3 Januari 8, 2009, meneja wa Ufundi wa kampuni ya Asian market of CVRD Olivia na wajumbe wenzake walitembelea Jingye Group

4 Januari 20, 2010,ATALAS ilisaini mkataba wa ushirikiano na Jingye Group

5 Mei 29, 2009, XCOAL waliingia katika majadiliano ya kushirikiana na Jengye Group