• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Sifa ya sita
Makazi yetu kwa sasa - Sifa ya sitaSifa ya sita

 

Ni kampuni inayoaminika kwa usambazaji wa bidhaa zake katika miradi mikubwa ya kitaifa nchini China.

        JINGYE Group ina ithibati ya nchi takribani tisa ya utengenezaji wa mabati ya aina tofauti ya kutengenezea vitu vya aina nyingi kama mitambo mikubwa nay a kawaida, vyeti hivyo ni kama kile cha CE kutokana na usanifu na sayansi ya aina ya juu inayotumika iliyopewa tuzo ya dhahabu (Gold Award). Tunauza ndani na nje ya nchi takribani 30 na kutumiks kstiks miradi mikubwa ya ndani kama in World Expo China Pavilion, the Three Gorges Project,The south-to-north water diversion project, the World Expo China Pavilion Zhang-Shi High Ways, Taiyuan Grand Theatre, Shijiazhuang Poly Garden, Huhhot Wanda Plaza II project, Shijiazhuang subway, Tianjin high CCB 117 buildings  na miradi mingine mingi ya uhandisi na kukubalika huku ni kutokana na uwezo mkubwa wa kiwango cha ubora na wigi wa kupatikana wa bidhaa zetu.

        Katika mradi mikubwa mitatu hata nondo na chuma nyingine zilitumika nah ii ilitokana na mwaka 2011 kampuni ya JINGYE Group kuthibisha kuwa bidhaa zetu ni bora baada ya ukaguzi mzuri uliofanyika na taifa chini ya taasisi ya (National Quality Supervision and Inspection Center