• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Sifa ya nne
Makazi yetu kwa sasa - Sifa ya nneSifa ya nne

 

Ushirikiano wetu na kampuni kubwa za kufua chuma ghafi kama BHP Billiton, Rio Tinto, The Vale and FMG for long-term cooperation.

 

       1. Mnamo oktoba 14, 2008, Rio Tinto kati ya kampuni 500 kubwa ya ufuaji na usambazaji wa chuma ghafi nchini Australia kwa kampuni kama Baosteel, Shougang na nyingine nyingi walitembelea na kukagua shughuli za JINGYE Group na kujadili namna ya kushirikiana kibiashara baada ya kujirisha na maendeleo mazuri ya hali ya juu ya kampuni na uhusiano mzuri na jamiihusika. Hivyo Rio Tinto Mining Company ikaafikiana na JINGYE kuwa na mawasiliano ya kupeana mali ghafi enedelevu kwa uhakika na na kufikia lengo la kuwa kimataifa zaidi.

2. Novemba 1, 2013 mkurugenzi wa kampuni ya Vale na Rais wa \china walitembelea JINGYE Group wakiambatana pia na na Meneja Mkuu Bw. Li Huiming kuona uzalishaji mzima. Hapo ndipo Li Huiming akaweka bayana kuwa JINGYE Group imekuwa ndio kampuni inayotoa changamoto kubwa ya kimaendeleo japo misukosuko ya umoja tangu 2008. Hapo ndipo Mkurugenzi Martin akato tamko kuwa Vale itaendelea kuwa mdau wa karibu Jingye Group na mkakati mkubwa uliowekwa baada ya majadiliano hayo utaifanya Vale kuwa msambazaji mkubwa wa chuma ghafi kwetu na kufanya wawe ndio kipaumbele; ndipo JINGYE Group imeweka mikakati dhabiti ya uhusiano na makampuni makubwa ya Chuma Ghafi kama - Brazil's Vale , Australia's BHP Billiton, Rio Tinto ,FMG na kadhalika.