• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Advantage three
Makazi yetu kwa sasa - Advantage threeAdvantage three

 

Ni kati ya kampuni kubwa, ya 100 kati ya zinazofanya bishara nje ya nchi na kupata daraja AA na tuzo ya biashara za nje na ndani.

 

       Hebei JINGYE Group inakubaliana na maendeleo ya kisayansi,kuendeleza uvumbuzi kuboresha uongozi, kukuza ushirikiano katika utafiti na mafunzo, matumizi ya vifaa bora na teknolojia kuimarisha masoko. Kufanya mabadiliko chanya na endelevu ili kuleta ufanisi, agusti 2013 taasisis ya takwimu ilitoa takwimu kuwa mwaka 2012 kampuni ya kufua chuma ghafi Hebei JINGYE Group ilifanikiwa kuwa kati ya kampuni bora 40 na kwa sasa ni ya 39. 

 

Pia mnamo Juni 2013 JINGYE Iron and Steel Group ilipata cheti cha heshima ya biashara ya nje na ndani kati ya kampuni 500 na kuifanya kampuni hii kuwa ya 84 kwa kuingiza kiasi cha dola milioni 685 za Marekani kwa mwaka 2012.

 

Kwenye swala la ushuru wa forodha imepata daraja la AA ambalo ni la juu kabisa kwa kutokwepa kodi kwa biashara ya ndani na nje na hivyo kupata tuzo hiyo ya kutukuka. Na hii ni kutokana na kuwa na rekodi nzuri ya kufwata na kuendana na matakwa yote ya kikanda na kimataifa pia.