• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Sifa ya tatu
Makazi yetu kwa sasa - Sifa ya tatuSifa ya tatu

Watengenezaji na wauzaji wa Salicylic Acid, na wasambazaji wa Glaxosmithkline na mshirika wa Johnson&Johnson ya Marekani.

 

Kampuni ya Jingye Chemical ilianzishwa mwaka 1990 na kuwa kati ya kampuni 50 za madawa Hebei,kampuni ya madawa inayokuwa kitaifa, , imepata daraja Shijiazhuang AAA credit enterprise. Hii ni kutokana na kuwa na uzalishaji mkubwa ambapo kwa mwaka ni tani 25,000 za salicylic acid na kuwa wazalishaji wakubwa wa bidhaa hii duniani na kufanikiwa kuchukua asilimia 80 ya soko nchini Japan, marekani, Urusi, Ulaya na Kusini Mashariki mwa Asia kwa takribani nchi 20. Mwaka 1992 Salicylic acid ilipata uthibisho wa cheticha GMP, na 2001 ilipata uthibitisho wa kimataifa namba ISO9001:2001 na 2005 Aspirin nayo ilipata uthibisho.

 

Mnamo Novemba 12,2008, kampuni kubwa duniani ya usambazaji na utengenezaji wa madawa ya marekani ya Johnson&Johnson walikagua kampuni na kutoa pongezi za dhati kwa kufikia kiwango kizuri na kuahidi kutoa msaada wa ushari na miongozo pale itakapohitajika