• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Sifa ya pili
Makazi yetu kwa sasa - Sifa ya piliSifa ya pili

 

Ni watengenezaji wa na wauzaji wa chuma duniani ambapo tunauza kwa takribani nchi 30 ulimwenguni.

Mwaka 2013 kulifanyika mabadiliko makubwa katika uzalishaji hadi kufikia uwezo wa uzalishaji tani 800 na kuwa kampuni inayoongoza duniani. Hivyo basi bidhaa zetu zimeshika soko la nyanda za kati na kaskazini na kutumika katika miradi mikubwa mitatu kama, mradi mkubwa wa maji (South-North water diversion), uwanja wa maonesho wa biashara duniani (World Expo China Pavilion), barabara kuu ya Zhang-Shi, ukumbi wa Taiyuan na mingine mingi. Jingye imefanikiwa kujitanua na kulishika soko la ndani vizuri pia imejitanua vizuri kwenye masoko ya nje ambapo inauza sana kwenye nchi za Ulaya na Mashariki ya Kati kwa takribani Nchi 30.