• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Taratibu za shirika
Makazi yetu kwa sasa - Taratibu za shirikaTaratibu za shirika

Maono ya kampuni: kuwa kampni inayoonga kwa utengezaji chuma China

Kauli mbiu: Uhalisia na mabadiliko, Siku zote kuwa wakwanza

Dira ya Kampuni: Pamoja na wafanyakazi,mafanikio ya nchi yetu, maendeleo ya pamoja na jamii na kuyapenda mazingira

Uhusiano na Wafanyakazi

Mwenyekiti Li Ganpo alisema: kuna malengo matutu yakufikiwa na wafanyakazi: kumiliki nyumba jimboni,watoto wapate elimu mpaka chuo,na kutokomeza maradhi.Wafanyakazi wa Jingye sio kuwa na vipato vikubwa pekee bali zaidi kufurahia mafanikio: Kampuni imefanikiwa kuchangia bima, bima ya afya na mikopo ya nyumba kwa wafanyakazi.na kila mfanyakazi ana mafao yake ya mwaka kwa ajili ya safari, pia imewek mkakati kwa kila mfanyakazi aliyetumikia kwa zaidi ya miaka kumi kusafari kwenda Thailand, Singapore na Malasyia.

Imewekeza zaidi ya Yuan millioni 800 kujenga bwawa, la kuogelea,chumba cha mazoezi, maktababure kwa kila mfanyakazi. Mafunzo ndio msingi wa mafanikio; Jingye imewekeza Yuan millioni 12 kujenga Chuo Kikuu chenye hadhi kubwa na uwezo wa kuchukua watu 3000 kwa mafunzo. Wafanyakazi wapya, wale wenye uzoefu na wahudumu lazima wapate mafunzo kwa mpango mahususi wa kusoma ili kukuza na na kupandisha elimu ujuzi na elimu zao.kwa miaka ijayo wafanyakazi mishahara itaongezeka kwa uwiano wa asilimia kumi (10%)

 

Kanuni ya kampuni: kuongeza ujuzi wa uvumbuzi ili kuendelea la sivyo tutafilisika.

Mgunduzi wa kitaaluma Hu Jianli

hapo mwanzo wakati ufuaji chuma ulipokuwa ukibadilishwa na kuwa wa kisasa zaia, Hu Jianli akiwa Makamu katika idara ya teknolojia alifanya mbinu nyingi ila haikuwa na mafanikio makubwa. Baada ya muda wa kazi akiwa kwenye gari kuelekea nyumbani akiwa bado anafikiri sana mara wazo la ubunifu likamjia ghafla. Alipofika nyumbania akaanza kufanyia kazi wazo lile la ubunifu mara moja na kuorodhesha aina zote asubuhi yake. Baada ya siku chache kufanya mahesabu mazuri aligundua kitu kipya ambacho kilifanikisha kuongeza uzalishaji takribani asilimia thelathini (30%) ambapo ililetea mafanikio kwa mwaka ya Yuan 2000-30000. Hu Jianli amehusika katika mabadiliko mengi ya kitekinolojia ya ufuaji chuma ambayo yalileta tija na mabadiliko chanya, kama vile vifaa vya utengenezaji chuma, mabadiliko, iliyogawanyika mara nne, ya kupoozea maji. na nyingine zenye zijulikanazo kama HRB335,HRB400,HRB500 na zile zinazoweza kuhimili mitikisiko mikubwa na kupata jina kutokana ya Umahri na kipaji cha ubunifu na ufundi na Mwaka 2008 ndipo Uongozi wa Mji wa Shijiaazhuang ukampa tuzo wafanyakazi mahiri katika Nyanja ya sayansi na teknolojia

Dhima kuu: Heshima ya kazi, uaminifu na kujitolea, ubunifu huleta tija, hekima huuza kazi

MBINU ZA KAZI: chukua maamuzi haraka na uyafanyie kazi, fanya kwa wakati na kuwa makini

Kijitambulisha kwa jina: Mazingira Jingye, Ubora Jingye, Inayoaminika Jingye

Matazamo wa Ajira: kila mtu an kipaji na kipaji cha pekee

KIPAJI KAMA KIPAUMBELE

Februari 2002, kampuni iliajiri kwa mara ya kwanza wanafunzi wa vyuo vikuu, Yingzhou Li ni mmoja wao. Kwa mara ya kwanza alikuwa katika karakana ya madawa aina ya kabonidaioksadi na kwa vile alikuwa ameweka mbele masomo na kuwa na mahiri alifanikiwa kuleta dokezo la mabadiliko na likakubalika na kufanya mabadiliko katika vifaa vya karakana. Mei 2009, akateuliwa kuwa mkurugenzi katika idara ya madawa kutokana na mumahiri wake katika kazi akateuliwa tena kuwa kuwa mkurugenzi wa kiwanda cha madawa. Baada ya hapo yalionekana mafanikio makubwa kutokana na kipaji alichokuwa nacho kwani ni kijana na kutoka chuo cha kawaida ameweza kupata cheo kikubwa na akafanya vizuri hivyo Li Yi Zhou akasema kwenye kampuni hii ukifanya kazinkwa weledi, ujuzi na kipaji utafanikiwa.

 

Mtazamo wa usalamaa; Usalama ndio msingi mkuu

Mtazamo wa kulinda Mazingira: uzalishaji usiojali mazingira ni wa kuacha mara moja. Kazi inatakiwa ifanyike ikiangalia kwa umakini madhara ya uharibufu wa mazingira na afya za wafanyakazi

Uwekezaji katika mazingira salama

   Kampuni yetu imejikita zaidi katika kuhifadhi nishati na uhifadhi wa mazingira kwa maisha, na kuhakikisha kila mara tunatafuta mbinu mpya za kuendelea kuhifadhi nishati na kuongeza ufanisi na uzalishaji. Kwa mwenendo huo wa kuhifadhi nishati imeokoa na kujipatia yuan bilioni 2 bila kutoa taka maji, vumbi uhifadhi wa nishati na vyote vipo kwenye viwango vya nchi. Ndipo kampuni ilipopata tuzo ya kati ya mitambo mitano bora ya uhifadhi wa nishatina Februari 2013 ikathibishwa na Bodi ya Utalii ya jimbo la Hebei Ukanda wa viwanda wa mfano kwa maonesho ya kitalii

Mtazamo wa Masoko: Masoko ndio kiini cha ushindani kinachohitaji ushirikishwaji wa wafanyakazi kwa ujumla