• jingye group
  • jingye group
  • jingye group
  • jingye group
Mwenyekiti wa Bodi
Makazi yetu kwa sasa - Mwenyekiti wa BodiMwenyekiti wa Bodi

 

                                                MAELEZO YA MWENYEKITI GAN PO  LI


             
Gan Po Li, ni mwenyekiti wa Hebei Jingye  Group, ana Shahada ya Uzamili MBA toka Chuo Kikuu cha Tsinghua, Shahada ya Uzamili EMBA Chuo Kikuu cha Peking na Stanford, Mwaka 1975 aliteuliwa kuwa Katibu wa Chama cha Jumuiya ya Nandian,1983-1985 Katibu wa Kamati Kuu ya Nandian. 1985 aliondoka na kuanzisha Htuohe Cannery katika mji wa Pingshan, 1986 katibu wa chama cha Chengguan katika Wilaya ya Pingshan, 1988 akaanzisha Kiwanda cha Madawa katika Jimbo la Pingshan, 1994 Kiwanda cha kutengeneza bidhaa zitikanazo na Chuma Pingshan, 1996 akaanzisha Hebei Jingye Group, na amekuwaMwenyekiti mpaka sasa. Alichaguliwa kuwa Ninth and" Bunge la kumi la Jimbo la watu wa Hebei na la Kumi na moja la watu Taifa la China" mwaka 2008. Alishinda Tuzo kama: " Wajasiriamali wannne na watano wa mji ", " Wajasiriamali wakuu wa jimbo la Hebei na miji yake ", " mamia ya wajasiriamali wakuu jimboni hebei ", " wajasiriamali kumi wakubwa katika mji wa Shijiazhuang " " Watu kumi wenye uchumi bora katika mji wa Shijiazhuang "," tuzo ya mjasiriamali bora anayejitolea kwenye jamii " na nyingine nyingi.